Kiswahili.US

The Beautiful Swahili Culture And Kiswahili Language Deserve Their Own Special Place, Kiswahili.US. Waswahili, Karibuni To Your Own Internet Space.

  • Nyumbani/Home
  • Kuhusu/About Us
  • Waandishi/Editors
  • African Music Videos
  • Habari/News

Mombasa, Kenya

Mashabiki

  • Jiunge Na Kiswahili.US Kupitia RSS Feed

    Turushie Barua Pepe

Tafuta

  • Google

    WWW Au Ulimwengu Wote
    kiswahili.US

Recent Comments

Categories

  • African Music Videos
  • Habari/ News
  • Kuhusu/About Us
  • Mbaraka Mwinshehe Mwaruka
  • Nyumbani/Home
  • Waandishi/Editors

Viungo Marafiki

  • Abagusii.Com
  • Daily Consumer Tips
  • Domains Are On Sale
  • Internet Brats
  • Swahili Time

Simba Wa Afrika Mashariki: Mbaraka Mwinshehe Mwaruka

Mmoja wa simba wa musiki za Africa ya Mashariki, Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alikuwa lead guitarist na band leader wa Morogoro Jazz  Band kati ya mwaka 1964-1973. Vile vile, Mwinshehe alikuwa ndiye mwana gitaa mkubwa wa band ya Super Volcano kati ya miaka 1973-1979.

Mbaraka Mwinshehe alifariki kaitka ajali ya gari katika mwaka 1979.  Marafiki, burudika na karibuni kumsikiza simba wetu, Mbaraka Mwinshehe. Afrika iendelee.

Posted on 07/15/2011 at 12:18 AM in Mbaraka Mwinshehe Mwaruka | Permalink | Comments (0)

Technorati Tags: afrika mashariki, mbaraka mwinshehe mwaruka, musiki, simba

Reblog (0) |

"President Kibaki's Appointments Are Unconstitutional" High Court Of Kenya

Mahakama kuu ya Kenya imesema ya kuwa wateule wa Rais Kibaki ni wa Kinyume cha Sheria Ya Kenya. Judge Daniel Musinga wa Mahakama kuu amesema kwamba uteule huo haukuwa na wanawake kama inavyotakiwa na Sheria.

Siku ya leo, speaker wa Bunge, Mhe. Kenneth Marende alitarajiwa kutoa ruling kuhusu uteule huo wa Rais Kibaki. Tutawaambia ruling hiyo ikitolewa. Habari ya Robin Njogu inafuata.

 

Na Robin Njogu, Capital FM. Nairobi Kenya

High court

Mahakama Kuu Ya Kenya, Nairobi.

NAIROBI, Kenya, Feb 3 - The High Court has declared the recent judicial appointments announced by President Mwai Kibaki last Friday unconstitutional.

Justice Daniel Musinga ruled that President Kibaki breached the constitution in nominating individuals to the Offices of the Chief Justice, the Attorney General, Director of Public Prosecutions and Controller of Budget.

A group of Non-Government Organisations that mainly advance the rights of women had moved to court claiming that the nominations of Justice Alnashir Visram as Chief Justice, Prof Githu Muigai for AG, Kioko Kilukumi DPP and William Kirwa as Controller of Budget were unconstitutional as they ignored gender equality.

"The said nominations are prima facie unconstitutional for being insensitive to gender equality and equal opportunity provisions as well as provisions on consultations and public participation as guaranteed by the Constitution," their lawyer Elisha Ongoya told the High Court.

He told the court to put halt the President's move as it negated the spirit and letter of the Constitution.

"The nominations set a dangerous precedent and stand out as dangerous rodents eating at the very roots of constitutionalism and the rule of law that ought to be safeguarded by the Constitution of Kenya," Mr Ongoya told High Court judge Daniel Musinga.

The eight applicants include the Centre for Rights Education and Awareness (CREAW), Caucus for Women's Leadership (CAUCUS), Tomorrow Child Initiative (TCI) and Women in Law and Development (K).

Others are Development Through Media (DTM), Coalition on Violence Against Women (COVAW), Young Women Leadership Institute (YWLI) and the League of Kenya Women Voters.

In their petition, the applicants claim that the nominations were done without advertisement and members of the public who ought to have participated were kept in the dark.

They claim that under Article 10(2) (a) that guarantees the Rule of Law as one of the National Values and Principles that bind all state officers, public officers and all persons whenever they apply or interpret the Constitution and in line with these provisions, they have the right to challenge the said nominations.
 
"There is real and present danger that unless halted, other organs of state like the National Assembly may be buoyed by the President's unconstitutional acts and approve the same hence set in motion foundations of blatant disregard for the Constitution," the lawyer said.

But Senior State Counsel Anthony Ombwayo and Wanjiku Mbiyu sought for adjournment of the hearing of the matter saying they needed to get instructions from the Office of the President.


Posted on 02/03/2011 at 09:15 AM in Habari/ News | Permalink | Comments (0)

Technorati Tags: appointments, bunge, high court, judge daniel musinga, katiba, kibaki

Reblog (0) |

Francois Luambo Luanzo Makiadi (Franco)-1938-1989

Franco alisema kuwa ni salama kuimba kwa lugha ya Lingala. Hakuna ubaya kuongea kwa lugha yako. Kupitia Francois Luambo Luanzo Makiadi (Franco), lugha ya Lingala inajulikana katika Afrika na dunia yote.

Bila kuwa na aibu ya lugha yake, Franco na kundi lake la TP OK Jazz walitumbuiza mashabiki wengi duniani na kuwa mmoja wa wanamuziki tajiri katika Afrika. Imesemekana kuwa Franco alikuwa mfalme wa gitaa katika Afrika.

Franco aliimba na kutoa nyimbo zaidi ya 150. Hakuna mwanamuziki yeyote katika bara la Afrika ambaye ameweza kuvunja rekodi hiyo mpaka leo. Baadhi ya nyimbo zake nzuri zinafuata.  Simba wa muziki katika Afrika. Ahsante Franco kwa kazi nzuri. Burudika.

  

Posted on 01/29/2011 at 10:23 PM in African Music Videos | Permalink | Comments (0)

Technorati Tags: democratic republic of congo, franco, francois luambo luanzo makiadi, zaire

Reblog (0) |

Nyumbani/Home


Dar

Dar Es Salaam, Flikr

English

Thank you for Visiting and welcome to Kiswahili.Us.  My name is Jared Nyaberi and I am the founder of the website. At Kiswahili.Us, we will provide daily commentaries regarding current events in Kiswahili. In addition, we provide the following services:


 1.Transalation services. We translate articles from English to the largest ethnic language in Africa, Kiswahili. In addition, we translate articles from English or Kiswahili to Ekegusii, the fourth largest enthic language in Kenya.

2.We translate information for the Federal and State Governments, Corporations, writers, journalists and tourists visiting Africa. Every one in our team was born and raised in Swahili-speaking countries. We were raised speaking Kiswahili.

3.Writing current events in Kiswahili. We write about any major events happening around us in Kiswahili. In doing so, we will provide commentaries and analysis of the events as we see them. These commentaries will provide a base for those who want to learn Kiswahili.

4..We translate and interpret for colleges and Universities. We will translate term papers, theses and dissertations, and other college work. We understand college deadlines  and will work with teachers and students to ensure prompt translations. We hope that your visit is enjoyable. If there are any other services we can provide to you, please let us know.

Kiswahili

Ahsante kwa kutembelea Kiswahili.Us. Jina langu ni Jared Nyaberi. Mimi ndiye mwanzishi wa tovuti hii. Katika Kiswahili.Us, tunazungumza kuhusu yanayoendelea kila siku kwa Kiswahili. Vile vile, tunafanya kazi ifuatayo.


1.Kutafsiri. Tunatafsiri kutoka Kiingereza kuelekea lugha kubwa ya Afrka, Kiswahili. Na hivyo hivyo, tunatafsiri kutoka kiingereza au kiswahili kwelekea Ekegusii, lugha ya nne kubwa katika nchi ya Kenya.

2.Tunatafsiri kwa serikali za Taifa, Wilaya, Kampuni, waandishi, na watalii wanaotembelea nchi za Afrika. Kila mfanyi kazi katika timu hii alizaliwa ka kuwa katika nchi zinazozungumza Kiswahili. Tulikuwa tukizungumza Kiswahili.

3.Kuandika habari kwa Kiswahili. Tunaandika mambo yanayoendelea kwa Kiswahili. Kwa kufanya hivyo, tunaeleza kwa urefu mambo yanayofanyika. Maelezo haya ndio msingi wa wale wanaotaka kuzungumza kwa Kiswahili.

4. Tunatafsiri kwa shule na vyoo vikuu. Tunatafsiri makaratasi ya mitihani, maandishi ya udaktari na kazi yoyote inayotakikana katika chuo kikuu. Tunajua kuwa waalimu na wanafunzi wako na kazi nyingi na mara nyingi kazi inatakiwa itafsiriwe kwa haraka. Tutajaribu sana kutafrisi kwa haraka. Sisi tunafikiri ya kwamba mtatumbuizwa. Kama kuna kazi yo yote ambayo  mnataka ifanyike, tafadhali tuambie.

Posted on 06/11/2010 at 11:26 PM in Nyumbani/Home | Permalink | Comments (0)

Technorati Tags: home, kiswahili, nyumbani, translation.africa

Reblog (0) |

Kuhusu/About Us

White SandsEnglish

Kutoka Flikr: White Sands Hotel, Mombasa

We work for you. That is it. Without you, there is no work here. If there is anything we can do for you, please let us know. Please email and provide details about the work you need done. We can turn around translations in as little as 24 hours.

We are able to do this because all our employees are native Kiswahili and Ekegusii speakers. In addition, we understand that some client assignments have tight deadlines and we will accomodate those situations.

Kiswahili

Tunakufanyia kazi. Ni hivyo tu. Bila wewe, hakuna kazi hapa. Kama kuna kitu unachotaka tukufanyie, tafadhali twambie. Tuandikie barua ya pepe na kutuambia kazi unayotaka ifanyike. Tutatoa utafsiri kwa kidogo ya masaa 24.

Tunaweza kutafsiri haraka hivyo kwa sababu wafanyi kazi wetu wote walizaliwa na kuwa wakizungumza Kiswahili na Ekegusii. Vile vile, tunajua kuwa wateja wengine wana kazi ambayo inatakiwa kufanywa kwa mbio na tutajaribu sana kuwasaidia.

Posted on 06/11/2010 at 11:17 PM in Kuhusu/About Us | Permalink | Comments (0)

Technorati Tags: about us, kama, kiswahili, kuhusu, mahitaji, tovuti

Reblog (0) |

Waandishi/Editors

English

My name is Jared Nyaberi.I was born in Kenya, East Africa. I went to Gesure Primary School, Nyamagwa Boys Secondary School, Kangema High School and Western Illinois University, USA.

I was born and raised speaking Ekegusii and Kiswahili. I studied Kiswahili from primary through high school. Even though I studied Political Science in College, I work as a Customer Engineer with NCR Corporation configuring electronics equipment. At night, I work I work for this website.

Kiswahili.US is one of my websites on the internet, among others. Some of my other websites include Gusii.com and Domainsareonsale.com. I appreciate and thank you for visiting this website. If there is anything you need regarding this website, please let me know. Thank you. 

Kiswahili

Jina langu ni Jared Nyaberi. Nilizaliwa nchini Kenya, Afrika ya Mashariki.  Nilenda shule ya msingi ya Gesure, Sekondari ya wavulana ya Nyamagwa, Sekondari Ya Juu ya Kangema, na chuo kikuu cha Western Illinois, Marekani.

Nimezungumza Ekegusii na Kiswahili tangu nikiwa mdogo. Nilisomea Kiswahili tangu shule ya msingi mpaka secondari ya juu ya Kangema. Ingawa nilisomea mambo ya siasa huko Western Illinois, kazi yangu ni kupamba mitambo katika kampuni ya NCR kwa mchana. Kwa usiku, ninapamba tovuti hii.

Kiswahili.US ni moja za tovuti zangu kwa mtandao. Baadhi ya tovuti zingine ni Gusii.com na Domainsareonsale.com. Ninashukuru kwa wageni wote wa tovuti. Kama kuna mahitaji yoyote kuhusu maandishi yaliyomo, tafadhali niandikie. Ahsante sana.

Posted on 06/11/2010 at 11:13 PM in Waandishi/Editors | Permalink | Comments (0)

Technorati Tags: among, english, jared nayberi, kiswahili, nyamagwa

Reblog (0) |


Content Copyright © 2010-2011 Kiswahili.US. | All Rights Reserved. | Kiswahili.US is an InternetBrats.US Homework.