Mmoja wa simba wa musiki za Africa ya Mashariki, Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alikuwa lead guitarist na band leader wa Morogoro Jazz Band kati ya mwaka 1964-1973. Vile vile, Mwinshehe alikuwa ndiye mwana gitaa mkubwa wa band ya Super Volcano kati ya miaka 1973-1979.
Mbaraka Mwinshehe alifariki kaitka ajali ya gari katika mwaka 1979. Marafiki, burudika na karibuni kumsikiza simba wetu, Mbaraka Mwinshehe. Afrika iendelee.

Comments