Dar Es Salaam, Flikr
English
Thank you for Visiting and welcome to Kiswahili.Us. My name is Jared Nyaberi and I am the founder of the website. At Kiswahili.Us, we will provide daily commentaries regarding current events in Kiswahili. In addition, we provide the following services:
1.Transalation services. We translate articles from English to the largest ethnic language in Africa, Kiswahili. In addition, we translate articles from English or Kiswahili to Ekegusii, the fourth largest enthic language in Kenya.
2.We translate information for the Federal and State Governments, Corporations, writers, journalists and tourists visiting Africa. Every one in our team was born and raised in Swahili-speaking countries. We were raised speaking Kiswahili.
3.Writing current events in Kiswahili. We write about any major events happening around us in Kiswahili. In doing so, we will provide commentaries and analysis of the events as we see them. These commentaries will provide a base for those who want to learn Kiswahili.
4..We translate and interpret for colleges and Universities. We will translate term papers, theses and dissertations, and other college work. We understand college deadlines and will work with teachers and students to ensure prompt translations. We hope that your visit is enjoyable. If there are any other services we can provide to you, please let us know.
Kiswahili
Ahsante kwa kutembelea Kiswahili.Us. Jina langu ni Jared Nyaberi. Mimi ndiye mwanzishi wa tovuti hii. Katika Kiswahili.Us, tunazungumza kuhusu yanayoendelea kila siku kwa Kiswahili. Vile vile, tunafanya kazi ifuatayo.
1.Kutafsiri. Tunatafsiri kutoka Kiingereza kuelekea lugha kubwa ya Afrka, Kiswahili. Na hivyo hivyo, tunatafsiri kutoka kiingereza au kiswahili kwelekea Ekegusii, lugha ya nne kubwa katika nchi ya Kenya.
2.Tunatafsiri kwa serikali za Taifa, Wilaya, Kampuni, waandishi, na watalii wanaotembelea nchi za Afrika. Kila mfanyi kazi katika timu hii alizaliwa ka kuwa katika nchi zinazozungumza Kiswahili. Tulikuwa tukizungumza Kiswahili.
3.Kuandika habari kwa Kiswahili. Tunaandika mambo yanayoendelea kwa Kiswahili. Kwa kufanya hivyo, tunaeleza kwa urefu mambo yanayofanyika. Maelezo haya ndio msingi wa wale wanaotaka kuzungumza kwa Kiswahili.
4. Tunatafsiri kwa shule na vyoo vikuu. Tunatafsiri makaratasi ya mitihani, maandishi ya udaktari na kazi yoyote inayotakikana katika chuo kikuu. Tunajua kuwa waalimu na wanafunzi wako na kazi nyingi na mara nyingi kazi inatakiwa itafsiriwe kwa haraka. Tutajaribu sana kutafrisi kwa haraka. Sisi tunafikiri ya kwamba mtatumbuizwa. Kama kuna kazi yo yote ambayo mnataka ifanyike, tafadhali tuambie.

Recent Comments